Invest katika mavazi unayo weza kuvaa mara mbili mbili – usinunue kitu kwa sababu tu kipo kwenye trendy, vipi kama trend ikiisha una weza kukivaa tena? kwetu tuna kushauri ununue nguo ambazo zina weza kuvalika hata kama haipo kwenye trendy wakati huo kuna zile trendy zisizo isha kama jeans inayo kutosha, flats shoes za ballet, maxi skirts nakadhalika hii itakusaidia kuto kuwa na uhitaji wa kununua nguo mara nyingi nyingi bila sababu.
Accessorise – kitu cha kwanza ambacho kina weza kuleta muonekano mpya katika vazi lako ni urembo mfano: hereni, saa, bangili au mkufu. Nunua hivi vitu vya design tofauti tofauti na kila unapo vaa vazi lako ambalo unaona liko plain add kitu kidogo cha kuchangamsha muonekano huo kama saa au mkufu, uta shangaa jinsi a small thing can make a big different