myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Toa nawe upate
Mimi naamini kila mmoja ni memba wa CHAWAMITA sema wengi tu wanajificha. Na sioni sababu hata moja inayoweza kumfanya kijana rijali kabisa kabisa asipende msambwanda. Why???????Naona CHAWAMITA ina members wengi sana
Uzi maalum wa fahari ya macho...!
Siyo mtoto wa mjini. Hicho cheo wanacho Yego, wewe, Moud na Mzee wa Ini. Sisi wengine ni wa kuja tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani wewe
Kumbe na wewe mtoto wa mjini eeh
Halafu nilishasahau [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Numbisa alisema inatibu nini hii?Tangawizi
Teh!Mimi naamini kila mmoja ni memba wa CHAWAMITA sema wengi tu wanajificha. Na sioni sababu hata moja inayoweza kumfanya kijana rijali kabisa kabisa asipende msambwanda. Why???????
Mimi si mtoto wa mjini bhana,hicho cheo ni cha moud,yego na harufuSiyo mtoto wa mjini. Hicho cheo wanacho Yego, wewe, Moud na Mzee wa Ini. Sisi wengine ni wa kuja tu...
Maandaeitini si ajabu mnashangaa. Hawa ni akina nani?