Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1775472c138071869c6f2e9e7857f0fd.jpg
wapi hapo..
 
Una weza kutumia shampoo za kuondoa mba lakini zina ma kemikali ambayo yanaweza kukuletea matatizo ya ngozi ni afadhali ukatumia njia za asili kuwa na sisi kujua ni njia gani
 
Maji ya limao (juice ya limao)
Limao ni njia moja wapo rahisi ya kuondoa mba bila kupatwa na madhara, citric acid iliyopo katika limao ina saidia kushambulia flake zinazo sababisha fangasi na ina saidia kupandisha ngozi zilizo kufa juu na kukuwezesha kuzisafisha (kuziosha) kwa urahisi.
 
Njia nzuri ya kutumia Limao kuondoa mba ni kwa kufuata process hizi mbili kwanza kamua kijiko kimoja cha limao bila kutia chochote (undiluted) halafu massage ngozi yako ya kichwa kwa kutumia maji hayo na uache kwa dakika tano. Halafu, step ya pili osha nywele zako kwa kutumia maji ambayo ume changanya na kijiko kimoja cha limao. Fanya hivi kila unapo taka kuosha nywele.
 
CHUMVI


Hakuna asiyr nayo kwake basi hii pia ni njia nyingine ya kuondoa mba kichwani mwako, chukua chumvi kisha massage katika kichwa jaribu kufanya hivi kabla huja tumia njia nyingine ya kuondoa mba kisha tumia njia nyingine hii itasaidia kuipa njia yako ya pili kuwa effective mara mbili (Salt
 
Back
Top Bottom