Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

KITUNGUU SWAUMU


Namna nyingine ya kuondoa mba ni kwa kutumia kitunguu swaumu, una weza kuwaza kuhusu harufu lakini hii nni njia nzuri mno ya kuondoa mba kwa maana ina antifungal properties ambazo zina nguvu kubwa za kuondoa/kusafisha mba kwa haraka., twanga kitunguu swaumu chako na changanya na kikombe kimoja cha maji. Massage katika ngozi ya kichwa iache kwa muda wa dakika kumi kisha osha na shampoo.
 
Tatizo hili huwapata wamama au wabab wengi wenye miili minene, japo hata wembamba pia huwapata lakini ni kumi kwa mmoja. Wengi hawapendi mabunye haya na hizi ni namna chache za jinsi ya kuziondoa/kupunguza cellulites
 
1)Unaweza kuzipunguza sana kwa mazoezi ya mapaja, miguu na makalio kama squats na legs workout.
 
2)Dry brushing pia inasaidia sana kuziondoa.



Unachukua brush kama hyo hapo kwenye picha na kubrush areas zilizo na cellulite ngozi ikiwa kavu.
 
Vile vile paka mafuta ya nazi , waweza kutumia mafuta ya nazi ndio ikawa kama vile lotion yako.
 
Kupata matokeo mazuri zaidi waweza kuyapasha mafuta moto kabla ya kuyamasage kwenye ngozi… vile vile mafuta ya nazi yaliyopashwa moto husaidia sana kupunguza streachmarks.
 
Matte Lipstick ni hizi lipstick za sasa zile kavu zisizo na mafuta, ni nzuri sana kwa sababu zina kaa muda mrefu na hazikuchafui chafui. Zina pendwa sana hasa kwa wale ambao hawawezi kukaa muda mrefu bila kuramba midomo, lakini zina shida yake hasa pale ambao ukizifuta una haribu midomo una kuta ngozi zina banduka kwenye lips hizi ni Tips saba rahisi ambazo una weza kufanya ili kupaka matte lipstick uka pendeza bila madhara yoyote
 
1) Andaa Lips zako – chukua asali, sugari na olive oil changanya na scrub lips zako kwa dakika kadhaa kisha futa lips zako, utabakia na lips ambazo ni soft kama za mtoto alafu
 
2)paka mafuta – kwa sababu matte lipstick ni kavu zina weza kuku sabababishia michubuko, ngozi kubanduka kwenye midomo nk, paka lip balm au mafuta yoyote Vaseline, argan oil, coconut oil au yoyote ili kulinda midomo yako na kuipa unyevu kabla huja paka matte lipstick
 
3) paka concealer ili kupata rangi nzuri – ili kupata rangi nzuri ya matte lipstick yako baada ya kupaka mafuta paka concealer kwenye lips zako, hii ina saidia kukupa neat result baada ya kupaka lipstick yako.
 
4) Anza Kupaka lip liner – kabla ya kupaka matte lipstick yako anza kwa kupaka lip liner kufatisha muundo wa mdomo wako, hii itasaidia kuto kutoka nje ya mdomo wakati una paka lipstick yako, na itakupa muundo mzuri wa mdomo
 
5) usisugue midomo yako – tumezoea baada ya kupaka lipstick tuna sugua midomo ya juu na chini ili lipstick ipate kukaa sawa, kwa matte lipstick una shauriwa usisugue midomo badala yake chukua brush na isambaze vizuri lipsctick yako hakikisha ume cover hio lipstick kila sehemu ya midomo inavyo takiwa.
 
6)Paka tena – baada ya kupaka lipstick una shauriwa kupaka tena ilikupata muonekano mzuri na kusaidia lipstick kukaa muda mrefu una chotakiwa kufanya baada ya kupaka lipstick yako mara ya kwanza fanya kama una busu karatasi au tissue kisha baada ya hapo paka tena lipstick yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…