Kuna kipindi mtu unashindwa hata kufungua uzi mbele za watu maana hujui utakutana na picha ya aina gani...[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]Bora umeona. Hizi picha za usiku
Aisee hii mipicha yenu ya kutisha sio Muda wake huu
Hivi ilikuwa ni mwaka gani vileee,hebu nikumbushe[emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mimi nilizaliwa wakati wa ukame uliofuatiwa na mvua kubwa zilizoharibu mazao yote isipokuwa mpunga. Ndiyo maana mpaka leo sijaweza kupata cheti cha kuzaliwa...
kako sawa..
Tunavuna mbona?Nauliza hiki kilimo cha like humu hamjaanza kuvuna