Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

608429674258354796.jpg
 
Wewe unawajua hao kwenye picha? Kaone....

Kuna wahenga wachache sana katika uzi huu ambao tulikuwa hai 1976.....
Nilipokuwa naprosesi cheti cha kuzaliwa, niliulizwa tarehe, mwaka na mahali nilipo zaliwa. Baadae nikaulizwa tarehe na mwaka wazazi wangu walio zaliwa bila kusahau mahali walipo zaliwa.
Nikajiuliza... Naprosesi cheti changu au cha wazazi? Tarehe ya kuzaliwa mimi na ya wazazi niijulie wapi?
Hepi besidei wote mlio zaliwa miaka ya utawala wa Mwinyi hadi huku kwa Kikwete maana BC mnaletewa vitandani...
Sisi tuna foji.... Mimi nilizaliwa walivyo toka kusali usiku wa krisimasi... Na ndo alikuwa aanze mido sikuli mama mwaka huo akashindwa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mimi nilizaliwa wakati wa ukame uliofuatiwa na mvua kubwa zilizoharibu mazao yote isipokuwa mpunga. Ndiyo maana mpaka leo sijaweza kupata cheti cha kuzaliwa...
 
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sisi ni bure kabisa
 
Weuweeee hai 76!!!????

Jakitoo huyu sponsor usimuachie kabisaa

Full mabusara ya ukweli
Ndiyo maana nikasema wengine hapa mabinti zetu kabisa. Muanze kutuheshimu aisee. Kama wewe hapo Nyerere anaaga dunia uko darasa la 4 ningeoa na kuzaa mapema ungeweza hata kuwa kitukuu changu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyie si mlikuwa na haraka [emoji23][emoji23][emoji23]

Hapo nimemjua sylvester tu aka rambo,huyo mwingine utanisaidia[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Usiwe na wasiwasi. Kwani muda unakawiaga basi? Miaka 10 tu ijayo utakuja kushangaaa. Whea didi ze taimu go? Enjoy your life to the fullest while you can. I hope you know what I mean...
 
Ndiyo maana nikasema wengine hapa mabinti zetu kabisa. Muanze kutuheshimu aisee. Kama wewe hapo Nyerere anaaga dunia uko darasa la 4 ningeoa na kuzaa mapema ungeweza hata kuwa kitukuu changu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaah bana,sijui kwann siku ile nilijichomesha uwiii najutaaa mieee
 
Back
Top Bottom