Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aaah bana,sijui kwann siku ile nilijichomesha uwiii najutaaa mieee
Halafu sasa vitu unavyoandika na jinsi ulivyo hapa mtu wala hawezi kudhani kuwa uko andaeitini aisee. Ndiyo maana kuna haja ya kukutana tuchambue mbivu na mbichi aisee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hongera sana kwa hilo aisee! Hakuna kitu kizuri kama kumsaidia yule asiye na matumaini, unamtengenezea baadae ya matumaini!
Nina ka-NGO kangu ka moyoni mwangu tu. Huwa nahisi ndiyo wito wangu hapa duniani. Mungu Amekuwa mwema mno kwangu aisee (japo sina material wealth) [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
All grown up now...Likely muhenga already [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
92d867d45ac002474c5da0508c7157cb.jpg
 
Halafu sasa vitu unavyoandika na jinsi ulivyo hapa mtu wala hawezi kudhani kuwa uko andaeitini aisee. Ndiyo maana kuna haja ya kukutana tuchambue mbivu na mbichi aisee...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora nilivyokwepa duh yale mambo ya kusalimia shikamoo kila siku kwa daddy shimba(in jakito's voice)yangenishindaaa
 
Tena kwa sasa natafuta watoto mayatima watatu wa kusomesha. Kuwa sponsor kuna raha zake nyie acheni bana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh sponsor wa ukweli.

Pamoja na kwamba ni jambo jema ila kwa mie mmh hapana kwa kweli. Kwa ninayoyashuhudia huku,ni wachache mno watakaokushukuru toka moyon na hawatakugeuka mbelen
 
Back
Top Bottom