Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pia kamati ilirejea aina ya matukio ya utovu wa kinidhamu ambayo amewahi kuyafanya beki huyo ambaye amewahi pia kuichezea Taifa Stars na klabu ya Mbeya City.
 
Mamlaka ya Baraza la Kata kwa mujibu wa Sheria ya Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi ya mwaka 2002 ni kusikiliza na kutatua migogoro ya ardhi iliyotokea katika kata husika. Mabaraza ya Kata, ambayo husimamiwa na Wizara ya Nyumba na Ardhi husikiliza mashauri ya ardhi yenye thamani ya ardhi isiyozidi Sh3 milioni.
Acha upotoshaji wewe Numbisa heb kaa neutral (impartial) usiwe [emoji111] wala [emoji106] utakuwa a good Lawyer

[emoji117] Tanzania hatuna kitu kinachoitwa "Baraza la Ardhi la kata (rejea post zako nyuma)

[emoji117] Tanzania hakuna sheria inayosema Mabaraza ya kata yapo chini ya Wizara ya Ardhi bali TAMISEMI (Rejea sheria Na. 7/1985 na 7/1982)
 
23967519_1952457231741246_7007280916275920896_n.jpg
Iyo fire extinguisher hapo haijaexpire kweli
 
Acha upotoshaji wewe Numbisa heb kaa neutral (impartial) usiwe [emoji111] wala [emoji106] utakuwa a good Lawyer

[emoji117] Tanzania hatuna kitu kinachoitwa "Baraza la Ardhi la kata (rejea post zako nyuma)

[emoji117] Tanzania hakuna sheria inayosema Mabaraza ya kata yapo chini ya Wizara ya Ardhi bali TAMISEMI (Rejea sheria Na. 7/1985 na 7/1982)
Acha povu shost uliza chanzo cha habar hii ntakuletea ,upotoshaji my nose,kwan nimeanzisha uzi au kiherehere chako kuja humu kula likes nipe likes povu peleka jukwaa la siasa
 
Acha povu shost uliza chanzo cha habar hii ntakuletea ,upotoshaji my nose,kwan nimeanzisha uzi au kiherehere chako kuja humu kula likes nipe likes povu peleka jukwaa la siasa
Jibu hoja mkuu Numbisa. Mi nimetoa hoja ww ndo unakuja na homa ya kifafa (povu).

[emoji666] Umesema WT zipo chini ya Wizara ya Ardhi, je KWELI??? nikisema upotoshaji povu lang liko wapi.

"Kwani nimeanzisha uzi au kiherehere chako..." Mwsho wa kukunukuuu. Swali je mm nimesema umeanzisha uzi?? Ama post.

===Likes watakupa JF sio wachoyo ila jib hoja===
 
Back
Top Bottom