Acha upotoshaji wewe Numbisa heb kaa neutral (impartial) usiwe [emoji111] wala [emoji106] utakuwa a good LawyerMamlaka ya Baraza la Kata kwa mujibu wa Sheria ya Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi ya mwaka 2002 ni kusikiliza na kutatua migogoro ya ardhi iliyotokea katika kata husika. Mabaraza ya Kata, ambayo husimamiwa na Wizara ya Nyumba na Ardhi husikiliza mashauri ya ardhi yenye thamani ya ardhi isiyozidi Sh3 milioni.
Iyo fire extinguisher hapo haijaexpire kweli
Acha povu shost uliza chanzo cha habar hii ntakuletea ,upotoshaji my nose,kwan nimeanzisha uzi au kiherehere chako kuja humu kula likes nipe likes povu peleka jukwaa la siasaAcha upotoshaji wewe Numbisa heb kaa neutral (impartial) usiwe [emoji111] wala [emoji106] utakuwa a good Lawyer
[emoji117] Tanzania hatuna kitu kinachoitwa "Baraza la Ardhi la kata (rejea post zako nyuma)
[emoji117] Tanzania hakuna sheria inayosema Mabaraza ya kata yapo chini ya Wizara ya Ardhi bali TAMISEMI (Rejea sheria Na. 7/1985 na 7/1982)
Jibu hoja mkuu Numbisa. Mi nimetoa hoja ww ndo unakuja na homa ya kifafa (povu).Acha povu shost uliza chanzo cha habar hii ntakuletea ,upotoshaji my nose,kwan nimeanzisha uzi au kiherehere chako kuja humu kula likes nipe likes povu peleka jukwaa la siasa