Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni ajenda ya dunia nzima sasa kueneza ushoga (na usagaji). Wenye watoto kuweni macho na katuni, vitabu, muvi na games za watoto wenu. Mambo si shwari hata kidogo !!!
5e5946a7b3f533506383d12dbac4a81f.jpg
e4d296b337b2b92c846ab02aa3ee499b.jpg
Hii ni shida kweli
 
Huku kwema ndugu. Bado uko Tanga?
Kumbe siyo mi peke yangu. Nimeamka nakuta siyo JF niliyoizoea.

Kitu peke yake kizuri kwa hii ni ile option ya kufuta comment yako compeletely ukitaka. I hope hawataiondoa huko mbele ya safari. Otherwise hakuna jipya...
Tanga bomba kabisa nategemea kuchomoka kesho hapa
 
Back
Top Bottom