Zuma ni " chuma"Wasifu wa Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma
Jacob Zuma ni Rais wa aina yake na mwenye utata kuwahi kutokea Afrika Kusini baada ya utawala wa weupe mwaka 1994. Amekuwa ni mwanasiasa mwenye maisha tisa akiponea chupuchup kashfa kadhaaa ambazo zineweza kuangamiza kabisha nafasi na historia ya kisiasa ya mtu mwingine yeyote.
Kamwe jogoo hawezi kufa kwa utitiriLakini Zuma aliyezaliwa katika familia masikini na baadae kusihi uhamishoni sababu ya kupinga ubaguzi wa rangi kabla ya kupanda ngazi na kushika hatamu kama rais wa watu, hawezi kunusurika kashfa hizi kila mara.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Zuma noma, Zuma ni mtambo[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Aiseeh!![emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Alituhumiwa kumbaka rafiki wa familia yake ambaye anaishi na virusi vya ukimwi mwaka 2006, lakini licha ushaidi Zuma aliambia mahakama kuwa alioga ili kujikinga na kupata virusi vya ukimwi ambavyo vinge muandama muda wote wa uraisi wake.