Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Valentine kaliwa bila hata kujulishwa... Nashangaa tu watu wamenasiana,wengine wamenuniana ezi ifu mapenzi yana tarehe maalum ya "kupendana" na kujionyesha mbele ya watu
Ndo shida ya mapenzi ya msimu hayo,huwa tunatarajia mengi siku hiyo na usipo yatekeleza mazuri yote tunasahau...

Kwema lakini??
 
Hivi mtoto Shimba ya Buyenze yupo?
Na ka-Numbisa kapo?
Nilimuona Yegomasika anavyo ku...
Jakitoo aki...usisahau kuniambia,maana lazima nihusike kuonyesha msisitizo...
Shimba yupo tena jana alitupiamo picha yako ya valentine jinsi ulivyotokelezea.
Numbisa aliaga tangu j4 naona bado yuko kwa valentine
Jakitoo kawa adimu sana humu sijui kasha......hahaa sitaki kesi mie
SHIMBA YA BUYENZE
 
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] ukikitafuta sana lazima kipatikane[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom