carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Ndo shida ya mapenzi ya msimu hayo,huwa tunatarajia mengi siku hiyo na usipo yatekeleza mazuri yote tunasahau...Valentine kaliwa bila hata kujulishwa... Nashangaa tu watu wamenasiana,wengine wamenuniana ezi ifu mapenzi yana tarehe maalum ya "kupendana" na kujionyesha mbele ya watu
Dada mzuri habari ya siku nyingi? Heri ya mwaka mpya[emoji120] [emoji120]
Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha niwe na afya njema. Haya na wewe familia inaendeleaje? Huko kwema?Ndo shida ya mapenzi ya msimu hayo,huwa tunatarajia mengi siku hiyo na usipo yatekeleza mazuri yote tunasahau...
Kwema lakini??
Huku kwema kabisa Mungu anaendelea kutenda[emoji120][emoji120]Namshukuru Mungu kwa kuniwezesha niwe na afya njema. Haya na wewe familia inaendeleaje? Huko kwema?
Usha nitia hamu...Huku kwema kabisa Mungu anaendelea kutenda[emoji120][emoji120]
Yanini tena?[emoji85][emoji85]Usha nitia hamu...
Eeee ya kurudi.Yanini tena?[emoji85][emoji85]
Hujarudi ama?
Aiseh!naona ni mtandao basiEeee ya kurudi.
Juzi nilikutafuta sikukupata
Hivi mtoto Shimba ya Buyenze yupo?Yanini tena?[emoji85][emoji85]
Hujarudi ama?
Kwema. Ila mambo hayaendiAiseh!naona ni mtandao basi
Kwema lakini?
Shimba yupo tena jana alitupiamo picha yako ya valentine jinsi ulivyotokelezea.Hivi mtoto Shimba ya Buyenze yupo?
Na ka-Numbisa kapo?
Nilimuona Yegomasika anavyo ku...
Jakitoo aki...usisahau kuniambia,maana lazima nihusike kuonyesha msisitizo...
Si uje tuongee sasa?Kwema. Ila mambo hayaendi
Upo kazini?
Nina kimeo kinanisumbua nataka unishauri
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] ukikitafuta sana lazima kipatikane[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shimba yupo tena jana alitupiamo picha yako ya valentine jinsi ulivyotokelezea.
Numbisa aliaga tangu j4 naona bado yuko kwa valentine
Jakitoo kawa adimu sana humu sijui kasha......hahaa sitaki kesi mie
SHIMBA YA BUYENZE
Naja,ngoja nimalizie mara mojaSi uje tuongee sasa?
Siko kazini hata hivyo
watu hawataki mchezo kwakweli[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] ukikitafuta sana lazima kipatikane[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
sawaNaja,ngoja nimalizie mara moja