Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Adios...Ndiyo maana inaitwa The Sweet Science. Huyo jamaa alikuwa ameelemewa kabisa. Huyu naye kutokana na kiherehere chake akamwendea tu bila kujihadhari. Kumbe aliyeelemewa akakusanya nguvu zake zote na kuporomosha hilo konde la kushoto. Matokeo yake ndiyo hayo. Ilibidi wampeleke hospitalini kuona kama hajaumia ubongo...

Ndiyo maana tunaambiwa mnyama aliyejeruhiwa wakati mwingine ni hatari zaidi. Hata umma wa wanyonge. Waweza kuuona ukaudharau lakini siku ukivuvumka, waweza jikuta unakushangaza. Na wenye akili wanajua kwa sababu mifano ni mingi katika historia. Hata sijui nawaza nini. Boxing mimi ndo mchezo wangu...[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
7d8f0822145b7476863a818b159dde2d.gif
Kweli mkuu, si mchezo!!!
 
Back
Top Bottom