Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahaha[emoji3] [emoji3] sawa mkuu. Naona kama masumbwi kwa sasa yamemkosa super star wa ukweli
 
Hahahaha[emoji3] [emoji3] sawa mkuu. Naona kama masumbwi kwa sasa yamemkosa super star wa ukweli
Ni down time kwa kweli. Pengine Joshua ataleta msisimko kwenye heavyweight division. Bado kijana na akiwa dominant itasaidia. Enzi za akina Mike Tyson na Lennox Lewis ilikuwa raha sana...

Ona hapa Joshua akimhangaisha Vladimir Klitchiko (Dr. Steel Hummer) na kumfanya astaafu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…