moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Mahakama ya simuMbagala msikitini
Mahakama ya simuMbagala msikitini
Alfajiri njemaUsiku unakua
Kipindi kile 1980 -2000, walikuwa wengi, Tyson, Bruno, Botha, Lewis nk. Burudani kwelikweli.Ni down time kwa kweli. Pengine Joshua ataleta msisimko kwenye heavyweight division. Bado kijana na akiwa dominant itasaidia. Enzi za akina Mike Tyson na Lennox Lewis ilikuwa raha sana...
Ona hapa Joshua akimhangaisha Vladimir Klitchiko (Dr. Steel Hummer) na kumfanya astaafu.
![]()
SafiWametengeneza drone yao ya kwanza...
![]()
Huo ni mkate tu bro. Nadhani dawa ya mkate waijua na bila shaka unayo. Ataangua kilio na usiamini kama ni yeye[emoji3] [emoji3] [emoji3]