Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pole Sana kwa majanga yaliyokupa hivi karibu kwa kutumia pombe Kali za kienyeji(gongo) na kuleta afya mbovu ndugu yangu
Nasikia gereza limekukubali maana umepata kitambi hongera sana mkuu.
Natamani utafune tena pesa za chama cha kukopa na kulipa wakulima ili urudishwe huko tena[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…