Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Duh!kumbe hali yenu ni mbaya hivi?
Poleni kwakweli[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Mafua yasababisha vifo vya watoto 22 Marekani



Watoto 22 wameripotiwa kupoteza maisha kutokana na ugonjwa wa mafua nchini Marekani.

Kwa mujibu wa habari,msimu wa mafua ulianza toka Oktoba 2017 na kuwasumbua wengi nchini humo.

Madaktari wamekuwa wakitibu wagonjwa wa mafua na kusema kuwa wameongezeka wiki lililopita.

Watu zaidi ya 60 walikuwa wakipelekwa hospitali kutokana na mafua ndani ya wiki moja.

Hata hivyo madaktari wanatumaini kipindi cha watu kuugua mafua nchini humo kinafikia kileleni.
Yegomasika
SHIMBA YA BUYENZE
Ulikuwa unambembeleza Yego jana ulifikiri anaumwa nini? Endelea kumuuguza...
 
04e338f29ca8199a5fabc8c7d1c63a69.jpg
 
Hivi mnashida gani na vimbau mbau jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vimbaumbau ni shida. Kuna kimoja kule Mbagala mtaani kwetu kila siku kinazusha zali. Yaani mpaka kero. Ila haya matipwa tipwa haya yameridhika na maisha mapooleeee menyewe yaani kutabasamu tu huku yakitingisha misambwanda...
 
Back
Top Bottom