LIKE
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 4,766
- 9,933
Kula likes zaidikwani zimeisha?
Usiku mwemaJamani jamani jamani Jamaniii. Mimi tu? uniq haujamuona? mzee wa liver haujamuona? Cole Williams haujamuona? Mbona wapo wengi?
Me simuoni sijui anakwepa nyundo zangu za likesMzee wa liver mbona yupo sana
Sina uhakika kama utavumilia. Watoto ukiangalia mwandiko wao una maanisha...Umerudi moto mtoto kajaa usolid umetuacha sisi.
[emoji102]eti eeehh!
Umeamka tena kula likes mkuuAisee
Unakumbuka ile game na england quarter final? Huku Cameroon katikati alisimama makanaky, england walikuwa Paul gazza. Ili kuwa shughuli kwakweliHuyu na Ekeke pale ilikuwa ni shida
Balaa tupubustàni na mwenye nayo bhana
Wanasema tuishie hapo hapo.Una dalili zote za kuniharibia mkuu
Napambana kweli kweli hukuMwenyekete wa wakimbiaji[emoji102] [emoji23] [emoji125] [emoji125]
hujaziona?Toeni like
Hahaha may bNiwewe mrembo au unaogopa makontena ya acacia
hiyo hapoToeni like