Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Vitiligo ni ugonjwa ambao miaka hii ya karibuni umezidi kuongezeka na kuwaathiri wengi.

Hivi ni kwa nini lakini? Ni mabadiliko ya hali ya hewa au ni vyakula hivi vya kisasa...

Wanasema hata Michael Jackson alikuwa nao na ndiyo sababu ya kujichubua hivyo...

Nawapenda hawa majasiri wanaojitokeza hadharani. Wengine basi utakuta ni kujisiliba mikanzu na kujificha uso jumla. Ugonjwa wenyewe hata tiba hauna....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…