Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Mti wenye matunda lazima upigwe mawe.Jamani jamani jamani Jamaniii. Mimi tu? uniq haujamuona? mzee wa liver haujamuona? Cole Williams haujamuona? Mbona wapo wengi?
Like za kusuasuahujaziona?
Pokea likeswatu mmegoma kupiga likes
hahaha nimekuja ku like zaidiSingleFather sioni post zako naona likes tu weka post tugonge nyundo ya likes
Pokea likes sambaza likesHalichachi
Jamaa mmoja mgonga lkeNani huyo[emoji102]
Vibarua vitaota nyasi wakichelewa kaziniTangu Jana mornie[emoji102]
pokea like na nyingine mpe babe SKesho siandiki kitu ni like tu kuanzia nilipo ishia. Si unajua nilikuwa busy na Babe S leo siku nzima.
Hahahahaha mzee wa liverLazima nigangamale, siwezi kulia lia kama mzee wa liver
Haina shida, tafuta like kisha pata wifeJamani jamani jamani Jamaniii. Mimi tu? uniq haujamuona? mzee wa liver haujamuona? Cole Williams haujamuona? Mbona wapo wengi?
Ahsante mkuu. Siku ya leo ilikuwa yetu. Tumefurahi pamoja. Usiku mwema JfUsiku mwema