moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Yaani uanze kusoma mwanzo mpaka ufike page ya mwishomwenyewe nili connect dots hadi nikaelewa
ukipitia comments unaelewa maana ule umeanzia mbali sana
pole hahaa

AminMuwe na Jumapili njema na yenye baraka na Neema tele
AMUN RAAMUN RA
AminNawatakia siku njema
Nawe pia mkuuNawatakia siku njema
Usikose mkuuNimejitahidi kukimbiza baadaye kidogo wadau
Ngulupa tupatupa dance, chini ya Asia Daruweshi "super mama". New Africa HotelMk group
"Tukunyema" chini yake Shem KalengaMk beats
"Twanga Pepeta" Chini yake Ali Choki. Wapi Mango GardenAfrican stars band
Wana "Njenje" chini ya Waziri Ali mtaalam wa kinandaKilimanjaro Band
Chini yake Dr Remy Ongala na mpiga solo mahiri Fan fanMakassy Band
Chini ya Dr Remy OngalaMatimila jazz
"Nginde" Sikindee ngoma ya ukae. Mlimani mwengeDDC Mlimani Park
"Weee mesenja":Max BushokeBima Lee orchestra
Magoma kitakita, "Mwanaidi yote uliyoniambia nimesikia" sauti yake Muhidini Maalim Gurumo, mwana Masaki. RIPMsondo Ngoma Music band
"Ashibaye" chini ya solo la Kassim Mponda. Acha masikhara bana. hiyo ni ndani ya Wami bar Mwananyamala 1985Juwata jazz
"Rudi kwanza Jose nipate nafuu, mwenzio natesekaa, fanya huruma" Maliim Gurum na Solo la Abel Baltazar miaka ya 70 huko ndani ya Kibarua bar IlalaNuta jazz
"Kinye kinye kisonzo Tisa kumi mangara" Mangara dance. Kibambe Ramadhani, Abdul Salvador, Kalala Mbwembwe, Kyanga Songa, Kasaloo Kiyanga. Miaka ya 80 na mwanzoni mwa 90, Iringa iliwaka moto hasaTancut Almasi