Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,984
- 189,583
Pamoja kiongoziToeni tu
Nimepewa warning jakitoo.. Juu yakoutoro sugu ndo tatizo kichwa kichafu
Mapenzi mubasharaKesho siandiki kitu ni like tu kuanzia nilipo ishia. Si unajua nilikuwa busy na Babe S leo siku nzima.
Hakuna neno kiongoziToeni like
Poa poa mkuuToeni like
[emoji102]Huyu na Ekeke pale ilikuwa ni shida
Hahahah balaa sana kakaSina uhakika kama utavumilia. Watoto ukiangalia mwandiko wao una maanisha...
Hahaha nyundo nzitoMe simuoni sijui anakwepa nyundo zangu za likes
Nimepewa warning jakitoo.. Juu yako
Hahahahaha uniq unatuhuma zako huku.Si ndio? Watu wanaftina kweli, hasa huyu kijana uniq. Mchana nilitaka nimkate vibao vya kelbu. Aliniudhi sana
Hahahaaaa una vikwazo kuliko hata MarekaniHaina shida, tafuta like kisha pata wife
ukhuty nisamehe utuhurumie mamaJxkxyxkxylfkyudkyduxulfdjldu
Hahaa pesanatamani iwe hata next week
Usiku mwema familia ya upendoChaaaooo!
Teh teh teh, jamaa wewe na uniq ni noumaHahahaaaa una vikwazo kuliko hata Marekani
Nilinde mkuuMkuu muache huyo maana humu ndani ratio ya ke na me ni kubwa sasa akiacha upenyo kidogo mtoto anapokonywa