andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Mkuu kesho kibaruani, na foleni za hapa mjini ni keroMbona mapema?
Mkuu kesho kibaruani, na foleni za hapa mjini ni keroMbona mapema?
Toa likes pata likesSheria zetu lazima na wewe utoe likes kwa wenzako sio upewe wewe kama utoi utakosa pia kula uliwe
Poa poaMambo fresh
Leo malengo hayakutangazwa mapemaMalengo ya Leo yapo vp
Post mama tugonge likesNasoma na kulike mpaka nasahau kupost
Aisee jamaa yanga unapiga miguu yote utaki kuacha mtucarbamazepine wapi mama ukitokea naomba unisubiri moyo utulie
Kama sheria ya uzi isemavyoNimekuja kutoa likes chapchap
TupoMupo kimya
AmenMwenye Enzi Mungu bariki na kuwalinda wanangu milele yote
Nami napita sasa hukuJamani nipo nyuma kabisa huku nagonga like mbele huko VP?
HahahahhaWatu wanataka kugongewa tu