Nitumie nyingine
AMUN RASafi kabisa mkuu
Habari ya asbh
Itakuwa ni matumiz ya Pc kutype mambo mengi hivyo machoo nahisi naelekea uzeeni yapaswa nimuone DrJana ulifanya mambo mengi hapa, kunywa maji ya kutosha upumzike
Sipat notification nakonda na mawazoNa makucha yake
AMUN RA
Anapenda siasa, yupo huko anapigania chama chakeStress free zone
Namkumbuka shosti wangu cocochanel jamani!
Usikonde zitakuja tuSipat notification nakonda na mawazo