mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 Feb 22, 2018 #577,441 ho chi minh said: Mvinyo si mvinyo mkuu Click to expand... Hahahaha
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 22, 2018 #577,442 8.kaa kimya kama maneno yako yatakufanya udharaulike baadae au mbeleni.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 22, 2018 #577,443 9.kaa kimya kama maneno yako yataleta maana tofauti kwa mtu au watu unaoongea nao.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 22, 2018 #577,444 10. kaa kimya kama habari au jambo halikuhusu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 22, 2018 #577,445 11. kaa kimya kama maneno yako yatakua na uongo ndani yake au unashawishika kusema uongo.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 22, 2018 #577,446 12. kaa kimya kama maneno yako yatashusha heshima ya mtu mwingine.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 22, 2018 #577,447 13. kaa kimya kama maneno yako yatapelekea kuvunjika kwa urafiki au undugu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 22, 2018 #577,448 14. kaa kimya kama upo kwnye hali mbaya hasa kimawazo au kama hujui unachotaka kukisema.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 22, 2018 #577,449 15. kaa kimya kama huwezi ongea kitu bila kupayuka kwa sauti kubwa au kwa ustaarabu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 22, 2018 #577,450 16. kaa kimya kama maneno yako hayataleta picha nzuri kwa Mungu wako,marafiki zako na familia yako.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 22, 2018 #577,451 17.kaa kimya kama baadae utaona ni sahihi usingeongea ulichokiongea.
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 Feb 22, 2018 #577,452
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 22, 2018 #577,453 18. kaa kimya kama umeshasema kuhusu hicho kitu zaidi ya mara moja.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 22, 2018 #577,454 19. kaa kimya kama unaona maneno yako yatamtibua mtu mkorofi asie na adabu na mpumbavu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Feb 22, 2018 #577,455 20. kaa kimya kama ukiwa unafanyia kazi unachotaka kukisema.
mzee wa liver JF-Expert Member Joined Dec 14, 2014 Posts 83,467 Reaction score 431,962 Feb 22, 2018 #577,458