ho chi minh
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 32,904
- 163,077
Aah shukran kwa masahihisho mkuuNadhani hapo ulipo andika 5 ni 15 mkuu
Pamoja mkuuAah shukran kwa masahihisho mkuu
Afrika hasa hakuna muendelezo wa fikra na falsafa hata kwenye mambo ya msingi yanayohusu mustakabali wa taifa. Hata Marekani safari hii Trump anajaribu kufumua kila kitu cha Obama.Mkuu huwa wanabadilika watu lakini mipango ya serikali huwa inaendelezwa. Atakayefuata tutampa hilo jukumu, maana hata upande ule mwingine nao walishatuahidi elimu bure mpaka chuo
Shida mpka afeKwakuwa kulikuwa na malkia kwa muda mrefu[emoji3] tumeshamchoka huyo mama, kama inawezekana ajiondoe
Hahahahaha
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
DuhHahahahaha
Hahahahaha nilimwambia aitoe haraka sana wanaume wakwere sanaSiku ile ulipokosea ukaweka picha yako nilihangaika sana lakini nikawa naishia kupata hii tu ya binti wa De Santos. Na Mzee alisema unafanana naye basi nikajisemea "hata hii inatosha" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Hahahahaha mchinaHicho chuma lazima kiwe na harufu kali