moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kwakuwa kulikuwa na malkia kwa muda mrefu[emoji3] tumeshamchoka huyo mama, kama inawezekana ajiondoeView attachment 699703line ndefu prince Charles ,prince William, prince George kutakuwa hakuna malkia kwa kipindi kirefu