Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

AA701366-1F6D-4CA0-A413-950D96DD2A2D.jpeg
 
Mtangaza mmoja wa redio nchini Marekani amejifungua akiwa hewani wakati wa kipindi chake cha alfajiri.

Cassiday Proctor, mtangazaji wa kipindi cha redio cha alfajiri katika kituo cha redio cha The Arch katika mji wa St Louis nchini Marekani alitangaza kujifungua kwake kupitia njia ya upasuaji siku ya Jumanne.

Bi Proctor alianza kuhisi uchungu wa kujifungua siku ya Jumatatu .Kituo chake cha habari kilishirikiana na hospitali ambayo alijifungua ili matangazo yake kwenda moja kwa moja hewani.
Nilifikiri ni wa TV na amejifungua laivu watazamaji wakashuhudia. Ningeisaka hiyo clip kwa udi na uvumba...

Akili zangu hizi sometimes nazijua mwenyewe tu kwa kweli [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Back
Top Bottom