Ndoa tamu eeeh !!!
Sio 5bil mkuu.Gharama ya ndinga hiyo aina ya ‘Ferrari LaFerrari kutoka kwa hitmaker wa ‘God Plan’ ni kiasi cha dola milioni saba sawa na kiasi cha shilingi bilioni tano na ushehe za Kitanzania (15,753,827,457.68)
Pwata pwata pwa pwa pwaaaaa !!!
Daktari hapo lazima uwe na roho ngumu...Assuming ni hospitali...
Huyu si walimuua mwaka jana huyu? Kaacha hayo mabilioni yote?
Bado yuko jela? Arab Spring my foot !!!
Jamaa wamemshindwa. Nchi nyang'anyang'a kwa mabomu lakini jamaa yupo tu....
Alikuwa na mawazo mazuri sana kuhusu Afrika. Wakubwa hawakuyapenda naye hakuchanganua mambo sawa sawa....
You became the fire yourself. Continue burning...to infinity as you are immortal !!!
Siku ile ulipokosea ukaweka picha yako nilihangaika sana lakini nikawa naishia kupata hii tu ya binti wa De Santos. Na Mzee alisema unafanana naye basi nikajisemea "hata hii inatosha" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo sasa nimecopy tu hukoooo bongo5Sio 5bil mkuu.
Nadhani hapo ulipo andika 5 ni 15 mkuuHapo sasa nimecopy tu hukoooo bongo5
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Siku ile ulipokosea ukaweka picha yako nilihangaika sana lakini nikawa naishia kupata hii tu ya binti wa De Santos. Na Mzee alisema unafanana naye basi nikajisemea "hata hii inatosha" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mkuu huwa wanabadilika watu lakini mipango ya serikali huwa inaendelezwa. Atakayefuata tutampa hilo jukumu, maana hata upande ule mwingine nao walishatuahidi elimu bure mpaka chuoWakati unahangaika kuwasomesha atakuwa ameshaondoka madarakani mkuu. Akili za kuambiwa changanya na zako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kaaazi kweli kweliHuyu si walimuua mwaka jana huyu? Kaacha hayo mabilioni yote?