Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Na wewe na umaarufu wako JF unatafuta likes [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]



Hamna ,huku nakuja kujichangamsha changamsha kidogo na vijana .
 
34e5a0115d4ed86e54a4132708b1ed6c.jpg
 
Niko nawahesabu katika uzi huu. Wewe ni wa 18 kutamka haya maneno kwa Sis wangu huyu. Vijana wa Kibongo I love you inatoka tu kiholelaholela. Ukimtamkia binti wa kizungu maneno kama haya aisee atashtuka sana kwa sababu kwao yana maana kubwa mno.

Anyway, ngoja nimtafute Tunda wako nimwonyeshe huu ubuyu wako...na likes juu nakusindikiza nazo.
b1ac508eb15570e58ff64a3133b4faab.jpg
Upo
 
Back
Top Bottom