YapChapa like
Hahahaha acha we..,Isis nakupenda sana
Is itIsis nakupenda sana
Ok good nightNalala sasa hivi ,nikiamka nikute likes za kumwaga
YesIs it
Nawe piaOk good night
Na wewe na umaarufu wako JF unatafuta likes [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125]Nawe pia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Na wewe na umaarufu wako JF unatafuta likes [emoji1] [emoji1] [emoji125] [emoji125]
UpoNiko nawahesabu katika uzi huu. Wewe ni wa 18 kutamka haya maneno kwa Sis wangu huyu. Vijana wa Kibongo I love you inatoka tu kiholelaholela. Ukimtamkia binti wa kizungu maneno kama haya aisee atashtuka sana kwa sababu kwao yana maana kubwa mno.
Anyway, ngoja nimtafute Tunda wako nimwonyeshe huu ubuyu wako...na likes juu nakusindikiza nazo.