Imekaribia saa tatu usiku huku niliko. Najiandaa kulala. Saa 10 usiku huko home usingizi umegoma nini?
Circles have no end!The end of old circle and the beginning of new circle
Ipo! Huwa linajifunga na kufunguliwa jipya nao pia ni mzunguko!Circles have no end!
Circles have no end!
Uko wapi?Imekaribia saa tatu usiku huku niliko. Najiandaa kulala. Saa 10 usiku huko home usingizi umegoma nini?
Hebu thread hii iwepo mpaka July 31 2017 na tuendelee na spidi hii hii. Rekodi wanazoshilikia kule utaziangusha. Safi sana!
Ushindwe .....hahahaha
Ustaadhi SwaleheShimba...ginehe nkoyi...ulimhola?