Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Chelsea iligonga mwamba wa goli mara mbili huku Willian akitekeleza mashambulizi kutoka nje ya eneo la hatari kabla ya raia huyo wa Brazil kufunga katika jaribio lake la tatu kupitia shambulio alilotekeleza akiwa maguu 20.
Hatahivyo dakika 13 baadaye, Christensen alifanya makosa kwa kutoa pasi mbaya iliochukuliwa na Andres Iniesta aliyeshirikiana na Messi ambaye alifunga bao lake la kwanza la vilabu bingwa dhidi ya klabu hiyo ya London.
Christensen mwenye umri wa miaka 21 alikuwa ameichezea Chelsea mara tatu pekee kabla ya msimu huu lakini ameshirikishwa sana msimu huu huku beki wa kati Gary Cahill akipumzishwa.
 
Hata hivyo Conte alimtetea beki huyo wa Denmark licha ya makosa yake yalioipatia Barca bao muhimu la ugenini huku awamu ya pili ya mechi ya marudiano ikichezwa tarehe 14 mwezi Machi nchini Uhispania.
''Tulicheza vizuri sana," alisema raia huyo wa Italia.
 
''Tunazungumzia kuhusu mchezaji mdogo sana. Ni vyema kwamba anaweza kucheza katika mechi kama hii akionekana mchezaji aliyekomaa.
Alikuwa miongoni mwa wachezaji wazuri sana usiku huu. Ni vigumu kumtaja mchezaji mmoja lakini nadhani Christensen alicheza mechi kubwa na nilifurahishwa na mchezo wake. Tulifanya kosa moja lakini tunajua ukicheza na wapinzani kama Messi, Iniesta na Suarez unapofanya makosa unagharamika."
 
Nini kitafuata?
Chelsea watacheza mechi tatu kabla ya kukutana na Barcelona kwa mechi ya marudiano, mechi hizo zikijumuisha mechi za ugenini Ligi ya Premia dhidi ya klabu mbili za Manchester.
Watakutana na Manchester United Jumapili, 25 Februari (14:05 GMT) na kisha wakutane na Manchester City Jumapili itakayofuata (16:00 GMT).
Barcelona watarejea uwanjani La Liga Jumamosi, 24 Februari kwa mechi ya nyumbani dhidi ya klabu ya Girona ambayo kwa sasa inashikilia nafasi ya nane.
 
92dc94cf2f32ca8b7ebc8f3c3698ac4f.jpg
 
Nakubaliana nawe kabisa nimemuona dada mmoja baada ya matokeo ya kufunga hicho kidude sasa umbo lake limekuwa la kuchekesha. Na hicho kidubwasha kinapata umaarufu mkubwa sana kwa wanawake. Naona hapa kwetu Tanzania bado hakijaingia. Kuna mmoja alikua akijisifia mtandaoni anakifunga siku nzima tangu anapoamka hadi anapanda kitandani ndiyo hukivua. Ukitaka urembo shurti udhurike. Wanasayansi inabidi wapaze sauti zao kwa nguvu nyingi sana vinginevyo warembo wengi duniani wataumia sana.
Kimeahaingia zamaan kinaitwa clochet(kama nimechapia am sorry)angalia picha za wema akiwa na umbo namba nane,huwa anavalia hako kwa ndani kanabana kitambi alichonacho
 
Back
Top Bottom