Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

b1024c1c7868cd2794b680805ae31f10.jpg
Huyu anafanana na wewe sis. Sema tu yeye mnene kidogo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
 
Winga wa Ubelgiji Yannick Carrasco, 24, anatarajiwa kuondoka Atletico Madrid na kujiunga na klabu ya Dalian Yifang kwa dau la Yuro30m (£27m). Mkataba unaweza kuafikiwa mwisho wa wiki hii. (Marca)
 
Barcelona wameamua kutomfuatilia nahodha wa Lyon Nabil Fekir. Arsenal wamehusishwa na uhamisho wa mchezaji huyo utakaogharimu dau la £45m . (sport)
Nikwambie kitu? Kuanzia sasa kila post utakayoweka popote hapa JF nami nikapata bahati ya kuiona, basi mimi nitaigongea like. Usiniulize ni kwa nini...[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Bagesh bahati iliyoje

Mmh nimekatazwa kuuliza kwann

Wabheja sana
 
Back
Top Bottom