Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Winga wa Ubelgiji Yannick Carrasco, 24, anatarajiwa kuondoka Atletico Madrid na kujiunga na klabu ya Dalian Yifang kwa dau la Yuro30m (£27m). Mkataba unaweza kuafikiwa mwisho wa wiki hii. (Marca)
 
Barcelona wameamua kutomfuatilia nahodha wa Lyon Nabil Fekir. Arsenal wamehusishwa na uhamisho wa mchezaji huyo utakaogharimu dau la £45m . (sport)
Nikwambie kitu? Kuanzia sasa kila post utakayoweka popote hapa JF nami nikapata bahati ya kuiona, basi mimi nitaigongea like. Usiniulize ni kwa nini...[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Bagesh bahati iliyoje

Mmh nimekatazwa kuuliza kwann

Wabheja sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…