Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hata mimi sipendi kuzimia,ila ile process inayopelekea mtu kuzimia ninaipenda kweli kweliiii.... Itabidi tu,hamna namna,lazima niitumie njia hiyo ya kwenda kuzimia
Usjali unajua unafanyaje

Ukitaka hiyo proccess

Nje kunakuwa na ambulance[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nimemkaribisha sana nitamuandalia

Kuku wa kuchoma

Nitampeleka nyerere square akapige pichaaa

Nitampeleka Morena akale pizza

Baada ya hapo tunaenda majengo kuuza maparachichi

Akiwa na mm nahisi ndani ya lisaa limoja mzigo unaisha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Weee!!! Mzigo wangu hauishagi... Muda wote umejaa utadhani naniii ya naniii....
 
Back
Top Bottom