Hata mimi sipendi kuzimia,ila ile process inayopelekea mtu kuzimia ninaipenda kweli kweliiii.... Itabidi tu,hamna namna,lazima niitumie njia hiyo ya kwenda kuzimiaNajua unakuja kwa biashara
Unaanzaje kuzimia kwa mfano
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji134] [emoji134] [emoji134] chiinekeee neee....
Mtoto huyu nitampataje? Nayapendaga hayo mambo ya nginja nginja[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]akiona avatar yangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
andjul shem peleka "maparachichi" Hayo ASAP
Usisahau mrejesho tafadhali
Hospitali zipo bhanaWeweeeee weweee kesi mm sitaki ndugu
Umekuja na maparachichi au unatafuta mzimio.com
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23]
Usjali unajua unafanyajeHata mimi sipendi kuzimia,ila ile process inayopelekea mtu kuzimia ninaipenda kweli kweliiii.... Itabidi tu,hamna namna,lazima niitumie njia hiyo ya kwenda kuzimia
Nasubir aniulize tuuu[emoji23][emoji23][emoji23]
Muulize huyo hapo juu
Andaeitini[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata mimi sipendi kuzimia,ila ile process inayopelekea mtu kuzimia ninaipenda kweli kweliiii.... Itabidi tu,hamna namna,lazima niitumie njia hiyo ya kwenda kuzimia
Akijibu unitag
Me shida yangu ni mrejesho tu wa vyenye biashara imeenda,basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]akiona avatar yangu
Hawezi kuwaza tena mambo ya ngijangija
Tutauza maparachichi tu
Weee!!! Mzigo wangu hauishagi... Muda wote umejaa utadhani naniii ya naniii....Nimemkaribisha sana nitamuandalia
Kuku wa kuchoma
Nitampeleka nyerere square akapige pichaaa
Nitampeleka Morena akale pizza
Baada ya hapo tunaenda majengo kuuza maparachichi
Akiwa na mm nahisi ndani ya lisaa limoja mzigo unaisha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Sawaaaa atauleta hapa mrejeshoMe shida yangu ni mrejesho tu wa vyenye biashara imeenda,basi[emoji23][emoji23][emoji23]
Atakuja na atakuuliza usijaliNasubir aniulize tuuu
Usikonde maaAkijibu unitag
Naniii ya naniiiii?Weee!!! Mzigo wangu hauishagi... Muda wote umejaa utadhani naniii ya naniii....
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weee!!! Mzigo wangu hauishagi... Muda wote umejaa utadhani naniii ya naniii....