Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mtuhumiwa pamoja na marehemu walikuwa wanacheza mchezo wa kubahatisha katika mashine ya kichina kwa hiyo mzozo ulianzia maeneo hayo wakatoana nje na mtuhumiwa aliweza kumchoma kisu marehemu upande wa kushoto kufuani, alikimbizwa hospitali na mauti ulimkuta akiwa hospitali hivyo baada ya wananchi ambao walikuwa pale walipoona hilo tukio walimkamata huyo mtuhumiwa na kutoa taarifa kituo cha polisi lakini wakiwa wanaelekea kituoni lilijitokeza kundi jingine kwa nyuma likiwarushia mawe na fimbo na walipokaribia kituoni jiwe moja lilimpata huyo mtuhumiwa kichwani akaanguka hapo hapo"
 
Kamanda aliendelea kutoa ufafanuzi kuwa

"Baada ya yule mtuhumiwa kuanguka wale wananchi waliendelea kurusha mawe na kuharibu baadhi ya vitu katika kituo cha polisi na kuharibu taa nne na kuvunja madirisha mawili ya vioo ya kituo cha polisi, huyo mtuhumiwa mpaka sasa amelazwa hospitali akipatiwa matibabu kufuatia majeraha aliyopata kwa kipigo cha wananchi" alisema Deborah
 
Wenger amesema kikosi cha Manchester City kimekuwa bora kutokana na aina ya wachezaji waliosajiliwa na si uwezo wa Pep Guardiola.

Kauli hiyo ya Wenger imekuja ikiwa ni siku moja tu ya leo imesalia kuelekea mchezo wa fainali ya Carabo Cup dhidi ya City, itakayochezwa katika Uwanja wa Wembley, Uingereza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…