myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
18:47
Asante[emoji120][emoji120][emoji120]Haya maisha tunayo yapitia acha tu...Sorry
Amechanganya ya Nyerere-primary,Madilu2007-sekondari[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahahha shukran kwa kusahauuuu
Teh teh teh unanikana sasa ngoja niongeze uchochezi hadi urefuke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Utetezi wako hauna mashiko
We mzee ww kama unaongea kweli vileDada Numbisa,naomba uniambie umri wa huyo mkaka anae itwa D...
Hide my Id pls[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Laiti angelijua wote ni ma-andaeitini asingehangaika kuinamisha chini saksafoni yake kama heshima kwako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ha wa yuuu Numbisa
Niaje Yegomasika
Habari yako carba...
Ha wa yuuuuni ma-andaeitini wooote humu ndani.
Hongereni akina uniq woooteee maana leo hamjaenda shule,mpo mpo tu mnacheza mdako,chandimu,rede,kidalipooo...
Shimba mzee wa hekima niaje[emoji120]
BAK kwa picha zako kila nikiziangalia mafyulisi ya huku chini nashindwa kuyabeba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ho chi minh mzee mwenzangu[emoji120] [emoji120] najua muda wa kustaafu unakaribia...
ISIS barafu ya moyo wa mzee wa liver,mzee wa data[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Cole williams mpambanaji usiye na mafanikio[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Jakitoo ya Buyenze "dadiiiii lala"[emoji120] [emoji120] [emoji120]
HARUFU dada yangu mpole kuliko Joe Thomas[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Mwifwa mzee wa nginja nginja niaje...
Kichwa kichafu mzee wa mavitu ya jua kali[emoji120] [emoji120] [emoji120] tuonane jumatatu pls
Moudgulf mzee wa pwani,mzee wa ***** *****[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Demis...nimekumisimo atii...
Beef lasagna jamboooo...
Michembe ulizijulia wapi? Muone !!!Chezea michembe inaleta kumbukumbu nzuri muda wote
Ze King of Bongo Politics...
Katika kitu ambacho siwezi katika maiaha yangu ni ugomvi au hata kubishana yaani siwezi kabisaa.
Ndio maana ligi zikianza huwa nakaa kimya naangalia tu.
Sijui nikoje[emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahahha mtu na pimbi ake walitisheeerrNilipitia majuzi kule nilicheka saaaaana,mara akaenda Masaki,akafurumushwa na... Ile kurudi njiani nakutana na carba ameumizwa na Kichwa kichafu baada ya kuvalishwa pete ya visoda watu watatu.
Maisha haya jamaniii[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]