myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Duh!!! AfadhaliHata mie sipend sijui kwann hahaha my favourite musician wacha niumbuke tu
Duh!!! AfadhaliHata mie sipend sijui kwann hahaha my favourite musician wacha niumbuke tu
Imekuwa seald kwa nguzo saba!Kuna Wazenji hawaipendi hii picha kama ukoma [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Chezea michembe inaleta kumbukumbu nzuri muda woteMwenyewe anakumbuka vizuri tu
Chezea michembe inaleta kumbukumbu nzuri muda woteMwenyewe anakumbuka vizuri tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe tunajua kwa uhakika kabisa. Madilu alipofariki ulikuwa darasa la 4...
Mie ligi za mtandaon naziweza sana ila za uraian huku hunioni hahahaKatika kitu ambacho siwezi katika maiaha yangu ni ugomvi au hata kubishana yaani siwezi kabisaa.
Ndio maana ligi zikianza huwa nakaa kimya naangalia tu.
Sijui nikoje[emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi 2014 hao walio shikilia bakuli walikuwa hai na walishiriki maadhimisho ya sherehe ya muungano
Aakhu hizo huruma hazipogoMdogo wangu ameteseka sana hapa jukwaani. Ifike mahali mumuonee huruma...Pulizi...
Ligi yake na Mzee wa Ini...
Halafu ile divosi....
Too much jamani ....
Aakhu hizo huruma hazipogoMdogo wangu ameteseka sana hapa jukwaani. Ifike mahali mumuonee huruma...Pulizi...
Ligi yake na Mzee wa Ini...
Halafu ile divosi....
Too much jamani ....