Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Huruma aanze ISIS kwanza maana enzi zile kijana wa watu alijitolea kupata ban kisa malkia[emoji23][emoji23][emoji23]na bado akala cha mbavu malkia akakimbilia kwa mzee wa ini
Huu uzi huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]burudani tosha
Jamani jamani uwiii!
Haki ya Mola wangu walahi hahahaha
Sikumbuki fikiria!
 
Ni matumaini yangu wewe uweze kujifunza misingi sahihi ya mafanikio yako ili uweze kufanikiwa. Ni misingi hii sahihi ya fedha, maisha na mafanikio, ndiyo ambayo mimi na wewe nataka tuifatilie kwenye somo hili na kujifunza jinsi ya kuifanyia kazi kila siku.
 
1. Kipato unachokipata si sawa na utajiri. Sio kile unachokipata ndio kinakufanya uweTAJIRI bali kile unachowekeza ndicho kinachokufanya uwe tajiri. Kosa kubwa wanalofanya wengi ni kuweka akiba na kuitumia kwenye mambo ambayo hayana uwezo wa kuwasaidia KUFANIKIWA.
 
2. Utafiti unaonyesha ni asilimia mbili tu ya wazee wanaofikisha miaka 65 ni hao ndio wanakuwa wako huru kifedha. Asilimia kubwa inayobaki wanabaki wakiwa na maisha magumu sana na ya kuteseka. Hutakiwi kuwa miongoni mwa kundi la watakaoteseka, badilika sana na kuanza kuwekeza.
 
3. Utajiri haujengwi kwa siku, utajiri unajengwa kwa idadi ya miaka. Unatakiwa kuwa mtulivu sana hasa pale unapoamua kujenga utajiri wako na hutakiwi kuwa na papara, tulia, weka mipango na utafanikiwa. Ila kama utautaka utajiri wa siku moja tu, ni ngumu sana kufanikiwa, unatakiwa kuwa na mipango ya muda mrefu.
 
Back
Top Bottom