myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Unabishana f@r@gh@ jirani....[emoji3][emoji3][emoji3] wewe ni MTU mwema.Katika kitu ambacho siwezi katika maiaha yangu ni ugomvi au hata kubishana yaani siwezi kabisaa.
Ndio maana ligi zikianza huwa nakaa kimya naangalia tu.
Sijui nikoje[emoji23][emoji23][emoji23]