Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Aiseee...weekend watu wanachelewa kuamka. Wanapumzika
Aiseee...weekend watu wanachelewa kuamka. Wanapumzika
Fafanua mkuu...Naona uzi wa kupeana like umeanza kuwa kawa wa makapuku siku hz.Shame
Ingia kwa makapuku alaf ingia na hku unaweza ukazani upo sehemu moja,nadhan wanaoingiaga kwa makapuku wanaelewaFafanua mkuu...
GoodDAMN I LOVE THE LIFE I LIVE
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hata mie sipend sijui kwann hahaha my favourite musician wacha niumbuke tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]"Dadiii lala utaumwaa''...aaaaaahh..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dadiii huku baridiiii hahahhahaha
Kaaazi kweli kweliZe King of Bongo Politics...
Daddy Akii nakupenda[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]Mniachie binti yangu jamani ohoooo !!!
She takes care of her dadi tena kwa upendo na ukarimu wa ajabu sana. Ni binti mwema na ninayependezwa naye