andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 19,383
- 121,663
Dada Numbisa,naomba uniambie umri wa huyo mkaka anae itwa D...Shimba akiona unaniita dada atasema wewe ni sawa na kitukuu chake kama angechakalika mapema ujanani hahaha
Hide my Id pls[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Laiti angelijua wote ni ma-andaeitini asingehangaika kuinamisha chini saksafoni yake kama heshima kwako[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ha wa yuuu Numbisa
Niaje Yegomasika
Habari yako carba...
Ha wa yuuuuni ma-andaeitini wooote humu ndani.
Hongereni akina uniq woooteee maana leo hamjaenda shule,mpo mpo tu mnacheza mdako,chandimu,rede,kidalipooo...
Shimba mzee wa hekima niaje[emoji120]
BAK kwa picha zako kila nikiziangalia mafyulisi ya huku chini nashindwa kuyabeba[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
ho chi minh mzee mwenzangu[emoji120] [emoji120] najua muda wa kustaafu unakaribia...
ISIS barafu ya moyo wa mzee wa liver,mzee wa data[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Cole williams mpambanaji usiye na mafanikio[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Jakitoo ya Buyenze "dadiiiii lala"[emoji120] [emoji120] [emoji120]
HARUFU dada yangu mpole kuliko Joe Thomas[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Mwifwa mzee wa nginja nginja niaje...
Kichwa kichafu mzee wa mavitu ya jua kali[emoji120] [emoji120] [emoji120] tuonane jumatatu pls
Moudgulf mzee wa pwani,mzee wa ***** *****[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Demis...nimekumisimo atii...
Beef lasagna jamboooo...