Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ok sikujua mie lakini nashangaa hakikupata umaarufu mkubwa au warembo hawakujua kazi yake. Na vitambi vya baadhi ya warembo kutokana na nyama choma na masanga mbona wangekivaa hicho kidubwasha usiku na mchana ili wavikimbie vitambi vyao.
Vipo sema bei kubwa na pia wengi wanavivaa wakitoka kujifungua au wale wenye mitoko ambayo wanaona kuna umuhimu wa kuficha vitambi au wale wenye pesa ndefu na diet mfululizo za bila mafanikio
 
Back
Top Bottom