Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

526ed3e55518fa21d1df93f4eb31732c.jpg
 
Shhhhhh [emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️[emoji1550]‍♂️
46adce0f7be15fe8a7bd57fdfadf464b.jpg

Mambo mengine mtu inabidi ucheke tu! Sasa hapo ana accomplish nini kwa picha kama hii? GOD have mercy on us! [emoji23][emoji23]
 
Nitoroshe wiki mzima kama Numbisa alivyotoroshwa wakati wa Valentine...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Siku mbili hata kwa "exploration" tu hazitoshi. Visiwani huko wiki nzima kampa kampa hakuna kulala. Numbisa karudi kawa mpole hata spidi ya kupost imepungua...[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Ok sikujua mie lakini nashangaa hakikupata umaarufu mkubwa au warembo hawakujua kazi yake. Na vitambi vya baadhi ya warembo kutokana na nyama choma na masanga mbona wangekivaa hicho kidubwasha usiku na mchana ili wavikimbie vitambi vyao.

Kimeahaingia zamaan kinaitwa clochet(kama nimechapia am sorry)angalia picha za wema akiwa na umbo namba nane,huwa anavalia hako kwa ndani kanabana kitambi alichonacho
 
Back
Top Bottom