Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwa mara ya Kwanza Bondia Franciss Cheka anapigana Mchezo wa Kimataifa wa Kutetea Ubingwa wa Mkanda wa UBO wa kilogram76 katika Mkoa wa Mtwara,ambapo tayari ameanza Kufanya maandalizi ya Mazoezi tayari kwa Pambano hilo.AKiongea na waandishi wa habari Promota Jay Msangi anasema Bondia Kutoa Ufilipino anatoka katika Historia ya mabondia wakubwa.
 
Heee[emoji134][emoji134][emoji134]
Nikutoroshe na wewe?siku mbili tu[emoji23][emoji23][emoji23]
Nitoroshe wiki mzima kama Numbisa alivyotoroshwa wakati wa Valentine...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Siku mbili hata kwa "exploration" tu hazitoshi. Visiwani huko wiki nzima kampa kampa hakuna kulala. Numbisa karudi kawa mpole hata spidi ya kupost imepungua...[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️[emoji124]‍♂️
 
Life is good you know. Numbisa alienda kulishwa bata kwa mrija.

Back
Top Bottom