Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Huyu mwalimu shule yake ishapata msaada wa kompyuta, post hivi Tanzania yetu hii utaambiwa unachochea serikali dhidi ya wananchi wake.Ualimu ni kazi ngumu sana kwa kweli...
![]()
Sijasema kama ni Tanzania mkuu. Na ni kweli tumekuwa waoga kiasi hiki hata kutaniana tu hivi na kucheka tunaogopa serikali? Pole sana mkuu !!!Huyu mwalimu shule yake ishapata msaada wa kompyuta, post hivi Tanzania yetu hii utaambiwa unachochea serikali dhidi ya wananchi wake.
Toa likes nawe upateNaombeni likes
Likes kwa likesKama ninyi mlivyo na likes nyingi