Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Glasi moja kwa siku. KaYego kakikufanya ukafakamia zaidi ya hapo faida zote zinapotea na inakuwa sawa sawa na walevi wengine tu...Mvinyo mwekundu kiasi waweza kusaidia kuzuwia kuoza kwa meno na ugonjwa wa ufizi
Mvinyo mwekundu awali ulihusishwa na faida mbali mbali za kiafya, kuanzia kusaidia kupunguza kihatari za kupata magonjwa ya moyo na na kisukari.